![]() |
HABARI MPYA | Habari zaidi |
-
TAARIFA KWA UMMA.
10-03-2023
-
TANGAZO LA AJIRA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA
06-01-2023
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza anatangaza nafasi za ajira za kujiunga na Jeshi kwa mwaka...
-
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMTEUA SACP. MZEE RAMADHAN NYAMKA KUWA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA
02-09-2022
"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua SACP Mzee Ramadhan...
-
KUITWA KWENYE USAILI
13-08-2022
Tangazo la kuitwa kwenye usaili Jeshi la Magereza Tanzania Bara bofya hapa kupata orodha ya majina...
-
FOMU YA KUJIUNGA NA MASOMO KATIKA CHUO CHA UREKEBISHAJI TANZANIA (TCTA)
10-08-2022
Pakua fomu hii...
-
LEO JUNI 16, 2022 NI SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
16-06-2022
HISTORIA YA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA |
1.0.Utangulizi Jeshi la Magereza lilianzishwa rasmi mwezi Agosti 25,1931 baada ya mgawanyo wa majeshi ya Polisi na Magereza kutokea. Licha ya kuwa na majukumu ya kulinda usalama na mali za wageni, kabla ya mwaka 1931 Jeshi la Polisi lilifanya pia kazi za Magereza kama zilivyokuwa kwa tafsiri na madhumuni ya wakoloni. Jeshi la Magereza wakati lilipoanzishwa liliitwa Idara ya Jela ambapo shughuli zake zilibaki kuwa zile za kikoloni za utesaji wa wafungwa pamoja na kazi ngumu bila kujali kama ni ya manufaa kwao au kwa Taifa. Dhima ya Jeshi la Magereza ni kutekeleza wajibu ipasavyo katika kuimarisha ulinzi wa jamii kupitia usimamizi wa kifungo na kuwasimamia wahalifu, huduma za mahabusu, programu na huduma zinashughulikia mahitaji ya urekebishaji wa wahalifu na ushauri wa Sera kuhusu uzuiaji wa uhalifu na ushughulikiaji wa wahalifu. Soma zaidi>> |