SIFA ZA KUJIUNGA NA JESHI LA MAGEREZA |
1. Awe mtanzania (Tanzania Bara) 2. Awe na umri kati ya miaka 18 na 25 3. Awe na urefu wa kuanzia 5” 7” 4. Awe hajapatikana na kosa lolote la jinai 5. Awe hajaowa/kuolewa 6. Awe na elimu ya kidato cha Nne na kuendelea 7. Awe na tabia njema 8. Awe na afya njema Sifa zingine za elimu inategemea na mahitaji ya Tangazo husika la ajira kwa wakati huo. |
. |