Baada ya kupatikana kwa Uhuru wa Tanzania Bara, Jeshi la Magereza liliendelea kuongozwa na Kamishna wa Magereza Muingereza, Bw. Patric. Manley hadi mwaka 1962 Jeshi hili lilipoanza kuongozwa na wazalendo.
Mtiririko wa Uongozi huo ni kama ifuatavyo:- 1. Kamishna P. Manley - 1955 – 1962 2. Kamishna O.K.Rugimbana - 1962 – 1967 3. Kamishna R.Nyamka - 1967 – 1974 4. Kamishna Mkuu R. Nyamka - 1974 – 1978 5. Kamishna Mkuu A.B Mwaijande - 1978 – 1978 6. Kamishna Mkuu G.G.Geneya - 1979 – 1983 7. Kamishna Mkuu S.A. Mwanguku - 1983 – 1992 8. Kamishna Mkuu J.H. Mangara - 1992 - 1996 9. Kamishna Mkuu O.E.Malisa - 1996 - 2002 10. Kamishna Mkuu N.P. Banzi - 2002 - 2007 11. Kamishna Mkuu A. N.Nanyaro - 2007 – 2012 12. Kamishna Jenerali J.C. Minja - 2012 - 2017 13. Kamishna Jenerali Dr. Juma A. Malewa - 2017 - 2018 14. Kamishna Jenerali CGP. Phaustine M. Kasike - 2018 - 2020
15. kamishna Jenerali CGP Mej. Jen. Suleiman M. Mzee - 2020 - 2022
16. kamishna Jenerali CGP Mzee Ramadhani Nyamka 2022 Hadi sasa
|