TANGAZO
JESHI LA MAGEREZA KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM – SHULE YA SHERIA (UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM – SCHOOL OF LAW) LINAENDESHA KOZI YA ASTASHAHADA YA SHERIA (CERTIFICATE IN LAW) KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020 KWA MPANGO WA MASOMO YA MUDA WA JIONI (EVENING SESSIONS) KUANZIA SAA 10:00 JIONI.
MUDA WA KOZI:
Mwaka Mmoja (1) kuanzia Mwezi Oktoba 2019.
MAHALI:
Chuo Cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (Tanzania Correctional Training Academy - TCTA) (zamani kiliitwa Chuo Cha Maafisa Magereza Ukonga) kilichopo Ukonga Dar es salaam.
SIFA ZA MWOMBAJI:
Mwombaji awe na Sifa zifuatazo:-
- Elimu ya Kidato Cha Nne (Form Four) aliye na ufaulu wa kuanzia angalau alama Nne (4) za ‘D’ na kuendelea, au.
- Elimu ya Kidato cha Sita (Form Six) aliye na ufaulu wa kuanzia ‘principal Pass’
Moja (1) na ‘Subsidiary’ Mbili (2) na Kuendelea.
- Awe Mtanzania.
FOMU ZA MAOMBI:
Fomu za Maombi zinapatikana Chuo Cha Taaluma Ya Urekebishaji Tanzania
(TCTA), Ukonga, Dar es salaam kwa malipo ya Shilingi elfu ishirini tu (20,000/=)
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12/Julai / 2019.
KWA MAELEZO ZAIDI:
Piga Simu namba:-
+255 715749159 au +255 758 880 730 au +255 622 334 868.
Tangazo hili linapatikana pia katika tovuti ya Jeshi la Magereza Tanzania, ambayo ni: