Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala alipotembelea Makao Makuu ya Uhamiaji leo Julai 24, 2018, Kurasini, jijini Dar es Salaam.

(Picha na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Makao Makuu ya  Jeshi la Magereza).

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com